Mixtape.

Okere Black

Get Okere black music on All music platforms eg Spotify, Itunes, youtube, soundcloud, boomplay etc

Instagram

Kesho

Tracklist

1. Designer download
2. I Wanna Live download
3. It's You download
4. Babe Sample download
5. Unatesa download
6. Kesho download
7. Ukaganda download

Available On

iTunes

About Album

“Kesho” is my first commercial album which i wrote basically basing on the emotions and experiences i went through in love. It was not that directly but the Album raps it all up Perfectly

Artist: Okere Black
Label: Black Star
Release Date: 1-5-2019
Genres: Afro Beat, Afro Bongo, Afro Pop, RNB Bongo
People: Okere Black

Available Lyrics

Designer

Ni Vinnho design ah, please fall in line ah
Khapere design ah, Please fall in line ah

I try to have fun in my own design ah, Sipendi Ujinga in my Design ah
if you wanna have fun just fall in line ah, huku na kule cheza design ah
Gals laying low hell no my design ah, Quins and kings thats how we rolling
Hands in the air as we keep in lign ah, Wengi kama Panda yake designer
Sponsor design hiyo ni ujinga, Khapere na Vinnho Hawana Ujinga
ah eih aah, ah eih ah aaaah

Ni Vinnho design ah, please fall in line ah
Khapere design ah, Please fall in line ah
Ni Vinnho design ah, please fall in line ah
Khapere design ah, Please fall in line ah

I try to have fun in my own design ah, baby when you come around you know the line ah
and you trust in my legacy as my design ah, couple drinks like vino is my wine ah
a couple dollar cakes only for ma BD, tell me what you wanna you wanna do with your own vagina
live a life stay alive that is my design ah, 24-7 happy is not a minor
am really show you up, Am your right boy i take you there
ah eih aah, ah eih ah aaaah

Ni Vinnho design ah, please fall in line ah
Khapere design ah, Please fall in line ah
Ni Vinnho design ah, please fall in line ah
Khapere design ah, Please fall in line ah

We've gat drinks in the air, cars in the parking, cash for the weekend baby we are the winners
third eye in the pyramid, young and forever live a life to the max, ndio our design ah
so when you here this turn the volume up, let's see bottoms up, Khapere has got you
Slow and steady, shake your body, am in my design ah (lets go...)

Ni Vinnho design ah, please fall in line ah
Khapere design ah, Please fall in line ah
Ni Vinnho design ah, please fall in line ah
Khapere design ah, Please fall in line ah

I Wanna Live

Aaah aaah aaah
Woman I know you wanna say yes, u got to show me that yes, coz I know u love this, you know so
But then I know you wanna rush this, I wanna take it some slow, coz I’ll have a big fun, before so
So let me sing you, let me sing you, let me sing you, everything you, everything you, everything you
let me sing you, let me sing you, let me sing you, everything you, everything you, everything you do to me
Do you ever feel this?
Do you ever miss your lady this much ooh?
gal i wanna do this,

I wanna live a life that I will remember
I wanna give you love that you will remember
So let me sing a song to my heartbeat leo
Because you are the only song that i remember
You make me go u uuuh uuh
When I wanna go o oooh ooh
I wanna give you love like a telenovela
I wanna love you from Jan to December

Gal I wanna feela your comfort when I hold you like this
Just to tell you my love
I love the way you sooth me like this when I need you with me
Give more of your touch
So let me show you, let me show you, let me show you, All the ladha, All the ladha, All the ladha
let me show you, let me show you, let me show you, All the ladha, All the ladha, All the ladha I have for you
Do you ever feel this?
Do you ever miss your lady this much ooh?
gal i wanna do this,

I wanna live a life that I will remember
I wanna give you love that you will remember
So let me sing a song to my heartbeat leo
Because you are the only song that i remember
You make me go u uuuh uuh
When I wanna go o oooh ooh
I wanna give you love like a telenovela
I wanna love you from Jan to December

Gal i wanna love until the end of time
for real i wanna hold you we fly high to the sky
gal when you touch me i feel so high
crazy over you i dying for you
so let me show you gal
how sweet you are
i'll take you where you wanna be
give you what you wanna feel aah
i wanna live, where you wanna be aah
you wanna be? where you wanna be? aaah
"French"

I wanna live a life that I will remember
I wanna give you love that you will remember
So let me sing a song to my heartbeat leo
Because you are the only song that i remember
You make me go u uuuh uuh
When I wanna go o oooh ooh
I wanna give you love like a telenovela
I wanna love you from Jan to December

I wanna live x2
I wanna live a life that I will remember
I wanna love x2
I wanna give you love that you will remember
I wanna live x2
I wanna live a life that I will remember

It's You

Nataka malaika uje uwe wangu, kila nikikuita, waitikaa
Nishatambaa kote hadi na mawingu, mi nikitafuta, sijapataa
Najua mapenzi, yashanikwaza, yangu imaniii (yangu imanii) uuh
Ila lako penzi, mi nakujuza, ni tofautiiii aaaih
Unavopinda shingo macho ya aibu, nadekaa aah
Moyoni sina shaka we wangu tabibu, sa ringaa uu

uuh baby it’s you, I love you, I love you
uuh baby it’s you, I love you, I love you
uuh baby it’s you, I love you, I love you

Staki ubishi, Juu ya mapenzi, iyo pete kwa chanda mi nitavishwa
Nimeshafika, na sibanduki, Mradi nkilia ntabembelezwa
Nimekupenda kiasi kuwa sina mfano
Wanokutaka ringa hata watukane
Mahela bado sina ila tutapata
Ni mola anapeana mpenzi vuta heri
Uoooh, Mpenzi wo wooi, uuuuh Nakupenda
Uoooh, Mpenzi wo wooi, uuuuh Ni malaika
Najua mapenzi, yashanikwaza, yangu imaniii
Ila lako penzi, mi nakujuza, ni tofautiiii
Unavopinda shingo macho ya aibu, nadekaa
Moyoni sina shaka we wangu tabibu, sa ringaa

uuh baby it’s you, I love you, I love you
uuh baby it’s you, I love you, I love you
uuh baby it’s you, I love you, I love you
uuh baby it’s you, I love you, I love you

Uuuh baby, oh no uoh uoh uoh
Uuuuh baby, oh no uoh uoh uoh

uuh baby it’s you, I love you, I love you
uuh baby it’s you, I love you, I love you
uuh baby it’s you, I love you, I love you

Babe Sample

Oh teamor, Umeshanikaba koo siwezi kohoa

Naumia more, Nikila kwa macho na mi nishatoboa

Sababu penzi la moyo usikodhani ndo unang'oa

Kujenga msingi ngumu ila maana wasije bomoa

Sijui utanielewa nikisema, ama utanijaji tu

Nisije mi kupa huu moyo ukatema, utaniumiza tu

ninayo yahisi mimi ni mema, michezo kando tu

ninakujali sio tu Kusema, moyoni kuna kitu

sa babe sample (deka deka) Oyaya

oh babe sample (deka deka) Oyaya

oh baby sample (Usije zima taa, naogopa giza.)

(Wanaokukalia wivu walegeze wote wanyeshe kama vua)

Eti umezidi, maneno so yangu ongeza huo moto

kisha itabidi, nikutunze mami juu wewe ndo mtoto

yasio wafaidi eti siku hizi umenona puuza nipe joto

Siri utaifadhi nae shetani wa penzi mkemee na fito

Nikiona unalia baby, Nasononeshwa na mawazo na hasira

nauliza nani kakuchokoza, leo n'na morale mi nitaua

Sijui utanielewa nikisema, ama utanijaji tu

Nisije mi kupa huu moyo ukatema, utaniumiza tu

ninayo yahisi mimi ni mema, michezo kando tujb

ninakujali sio tu Kusema, moyoni kuna kitu

sa babe sample (deka deka) Oyaya

oh babe sample (deka deka) Oyaya

oh baby sample (Usije zima taa, naogopa giza.)

(Wanaokukalia wivu walegeze wote wanyeshe kama vua)

Oh mwenzangu sasambua, wewe sasambua

Teke la adharani sasambua, waache wavimbe

Wenye wivu wapasuke, wavimbe wapasuke

Oh babi sasambua, Babe sasambua

Sasambua, sasambua, sasambua, sasambua, sasambua

Unatesa

Baby nilivyotaka tujuane, Nilivyo melti kukuona,

Mateso mwangu moyo kabiliane, Kwa tabasam Tulijibizana

Na kwangu hakuna stima ni maji tu, Kama utapenda tuzingue

nauliza mbona wewe na mimi tu, Ila ni mola ajuae

Eeeihuii

Nimekupenda bila, na moyo huchagui kabila

maneno mengi sina, sivimbi ukinitukana

Hivi ni nyingi mimi kwangu sina, ila juhudi ntaongeza jina

Mchana kutwa nitahustle mimi, Sitosahau kumshukuru mola

baby, usiutese moyo, Unavo ringa unatesa (unatesa mama)

Ila usiutese moyo, Kuvaa pia unatesa (unatesa mama)

oyo.. usiutese moyo, Ukichelewa unatesa (unatesa mama)

Usingizini baby unatesa .....

ila moyo wangu wako baby milele

Najua sarakasi tapitia, Ila moyoni shakueka

ubaya wako kwangu huvutia, si mwanadamu kupendeka

Uzuri wa mapenzi kupendwa tu, Vingine zije kwa baadaye

kujivunia mpenzi kwa vyote tu, kama njiwa angurumaye

Nimekupenda bila, na moyo huchagui kabila

maneno mengi sina, sivimbi ukinitukana

Hivi ni nyingi mimi kwangu sina, ila juhudi ntaongeza jina

Mchana kutwa nitahustle mimi, Sitosahau kumshukuru mola

baby, usiutese moyo, Unavo ringa unatesa (unatesa mama)

Ila usiutese moyo, Kuvaa pia unatesa (unatesa mama)

oyo.. usiutese moyo, Ukichelewa unatesa (unatesa mama)

Usingizini baby unatesa .....

ila moyo wangu wako baby milele

Walai Binadamu hawatosheki, wanazingua wakiona zao

wanajifanya kuwa hawafeki, kisha wavunje mashingo zao

wanasema walai unatesa, wakila nazo macho zao

wanatunga virai ukitesa, ujuzi na mistari zao ooh mimi

baby, usiutese moyo, Unavo ringa unatesa (unatesa mama)

Ila usiutese moyo, Kuvaa pia unatesa (unatesa mama)

oyo.. usiutese moyo, Ukichelewa unatesa (unatesa mama)

Usingizini baby unatesa .....

ila moyo wangu wako baby milele

wangu love, uwe wangu wa imani

yani love, umenijaza akili

Yani love, usiniache mataani, yani love

Moyo wangu nautunza kwako

Kesho

Ulinipa lakini, nawaza kuteta hata yote kwako lawama
Madharau mengi, kunilenga ama kweli mimi hujai nipenda
Najaribu ku “chati”, nimekuvutia, kwa simu, mtandao, barua
tena adharani, nilikweleza jinsi navokupenda
Hata mwanangu naye, ona, hali yake sijui ikoje
Ila mamake nawe, ona, hujibu niulizeje
Nakuwaza sio siri, Nakupenda silali
Na mengine asilani, Ulofanya nakiri aai why?
Sijaweza kukusahau tangu uondokee mie
Umekataa kulifahamu tatizo la moyo…

Ila hisia vigogo, mimi sifai
Tena ‘na moyo mdogo, kwako huujali
Navumilia mateso, mateso mi silali
Shayavurugu ya kesho, kesho sina imani

Nimeskia umeolewa, machozi imentoka sijui nitafanyani
Heri yako, usiyemjali yule anaekupenda kweli
simu yako nkishika, natetema nashindwa nini ntasema
ama kweli, ukipenda moyo hubanduki milele daima
hivi natamani, jina, unite kwa makusudi
niko tabani, piga, hata simu ntulize
siwezi kubali, moyo, nikuache uende
kwa Imani, yangu, na Mungu nimweleze
Sijaweza kukusahau tangu uondokee mie
Umekataa kulifahamu tatizo la moyo…

Ila hisia vigogo, mimi sifai
Tena ‘na moyo mdogo, kwako huujali
Navumilia mateso, mateso mi silali
Shayavurugu ya kesho, kesho sina imani

Mbona uende, uniachie stress nilewe
Bangi na pombe, moyo nijitese mwenyewe
Hata ungepiga simu ukanieleza mie, ungenieleza
Kosa langu, ungenieleza mie, ungenieleza ooh mama we

Ila hisia vigogo, mimi sifai
Tena ‘na moyo mdogo, kwako huujali
Navumilia mateso, mateso mi silali
Shayavurugu ya kesho, kesho sina imani

Sijaweza kukusahau tangu uondokee mie
Umekataa kulifahamu tatizo la moyo…

Ukaganda

Macho bila dai, yanameta akipaka maskara

Alivyo sishangai, ameumbwa kupendwa na maulana

Kwa lugha nimedai, anipende kasema Inshala

Kama yeye sijai, kumuona hata kwa ishara

Kwa heshima alo nayo, asije nikera na vikeke ee, yani tete ee, ooh sitamuuliza

Anirushe mie, nijute kumpa wangu moyo ooh, baby sinchezee, hali yangu nichukie

Wananiambia siezi, hataa

Waonyeshe uwazi, mataa

Kisha ongeza mchuzi, dataaa

Tuwape tu kisogo

Nasimama jiwe, oe eeh

Kutangaza niwe, oee eeh

Kaza ringa nawe, oe eeh

Na usije ukaganda

Maumivu yachacha, nisije kuwa na picha mawazo, akiniambia siwezi kumpenda yee

Donda langu moyoni, amenitibu bila mwelekezo, Nimeamua ni yeye milele daima

Nimeishi nai, lakini sijapatana nae

Ananipendae, moyo wangu watakaye

Hata jiji nae, sijaweza kumpata kaye,

Niachane nae, nashindwa nani atanifaa

Wananiambia siezi, hatata

Waonyeshe uwazi, mataa

Kisha ongeza mchuzi, dataaa

Tuwape tu kisogo

Nasimama jiwe, oe eeh

Natangaza niwe, oee eeh

Kaza ringa nawe, oe eeh

Na usije ukaganda

Ni mimi niko nae, usinimeze mama

Siezi achanae, taumia sana

Kalete mkono dada twende umuone mama aa na utese utese utese

Nautese utese sana

Njoo utese utese utese

Nautese mama

Njoo udenzi utese utese

Nautese sana

Twende chini utese utese

Nautese mama

Latest Video